
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi ambapo amewataka wakazi wa Shinyanga kutoshiriki maandamano yaliyoandaliwa na Chadema kesho Septemba 01,2016-Picha zote na Abeid Suleiman-Malunde1 blog
![]() |
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro |

Waandishi wa habari wakiandika dondoo muhimu

Hii hapa taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kuzuia maandamano ya CHADEMA
![]() |
BOFYA <<HAPA>> KUONA PICHA ASKARI WA JESHI LA POLISI SHINYANGA WAKIFANYA MAZOEZI KUJIANDAA KUKABILIANA NA UHALIFU |
Social Plugin