Hii Hapa Orodha Mpya ya Viwango Vya FIFA Duniani Imetoka Leo Julai 14 2016
Thursday, July 14, 2016
Ni kawaida kwa shirikisho la soka duniani kote maarufu kama FIFA, kutoa viwango vya soka kila baada ya kipindi fulani katika mwaka, leo July 14 2016 shirikisho hilo limetanza viwango vipya vya FIFA ambapo timu ya taifa ya Argentina inaongoza kwa kushika nafasi ya kwanza.
Kwa upande wa ukanda wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, nchi ya Uganda imeonekana kuongoza kwa kuwa nafasi ya 69 ikifuatiwa na Kenya 86, Rwanda 111 na Tanzania ikiwa nafasi ya 123. Hii ni list mpya ambayo imetoka leo Julai 14 ,2016,
Social Plugin