Makundi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika Tayari Yamepangwa, Yanga Ipo Kundi ABaada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa barani Afrika, leo May 24 2016 shirikisho la soka barani Afrika CAF na ilichezesha droo ya kuzipanga timu hizo zilizosalia katika Makundi mawili ya A na B.

Kwa upande wa Tanzania Yanga ndio inawakilisha Taifa, nafasi ambayo iliipata baada ya kuitoa GD Esperanca ya Angola kwa jumla ya goli 2-1 katika hatua ya 16 bora.


Makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika yaliopangwa leo May 24 2016.


Makundi ya Klabu Bingwa Afrika yaliopangwa leo May 24 2016

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post