TAZAMA NGOMA MPYA YA KISUKUMA,MSANII NILA KUTOKA TABORA-BHAYOMBI




Ni weekend nyingine tulivu kabisa msomaji wa Malunde1 blog hususani mpenzi wa kipengele cha Nyimbo za asili....Leo nakukutanisha na Msanii Nila kutoka Mambali wilaya ya Urambo mkoani Tabora...msanii huyu anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ameachia Video mpya inaitwa Bhayombi...Ni Video kali iliyopikwa katika studio za Passmedia zilizopo mjini Kahama mkoani Shinyanga.Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527