Picha!! Mvua Zaleta Madhara Kenya,Watu 15 Wafariki Kwa Kuangukiwa na Ghorofa
Nairobi Nchini Kenya mvua zinazoendelea kunyesha wiki hii zimesababisha vifo ambapo mpaka sasa imeripotiwa watu 15 kufariki na kati ya hao 7 wamefariki baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka usiku wa April 29 2016 eneo la Huruma na zaidi ya watu 120 wameokolewa. .
.
.
.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553