MATOKEO YA MECHI KATI YA YANGA NA AL AHLYNi mechi nyingine kati ya mechi zilizotazamwa sana au zilizosubiriwa sana na mashabiki wa Tanzania ambapo Yanga walikutana na AlAhly kwenye muendelezo wa headlines za CAF, game ikapigwa uwanja wa taifa ambapo mpaka Half Time mchezo ulikua 1-1.

Mpaka Full Time mechi ikasoma vilevile 1-1 ambapo goli la kwanza liliingia dakika ya 9 Al Ahly walilipata kupitia kwa Gamal na dakika ya 19 goli la kujifunga Yanga wakalipata kupitia kwa Hegazy.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post