Kama kawaida ya Malunde1 blog kila mwisho wa wiki huwa tunakuletea nyimbo za asili...leo tunakukutanisha  na   Msanii wa Nyimbo Za Asili kutoka Bariadi mkoani Simiyu anaitwa Kisima wimbo unaitwa Sundi..Tazama Video hii kali hapa chini