" RAIS MAGUFULI AMSIFIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI,PAUL MAKONDA,USISHANGAE AKIPANDA CHEO

RAIS MAGUFULI AMSIFIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI,PAUL MAKONDA,USISHANGAE AKIPANDA CHEO


Magufuli akiongea na Wazee wa Dar es Salaam  Amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Kusema siku akipanda cheo watu wasinung'unike, kazi yake imeoneakana na heshima yake imeonekana

Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527