
Basi la Mashimba Express baada ya kugongana na gari ndogo katika eneo la Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga leo wakati likitoka Kahama kuelekea jijini Mwanza.Watu wanne wamepoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa.SOMA HABARI KAMILI HAPA

Miili ya marehemu ikiwa karibu na basi la Mashimba Express

Kulia ni gari dogo

Muonekano wa gari dogo
SOMA HABARI KAMILI HAPA