Video: ELIAS MNYAMWEZI - HISTORIA....KALI BALAA
Msanii wa Nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Eliasi Mnyamwezi ametualika kutazama video yake inaitwa Historia.Ni wimbo mzuri sana hakika utaupenda,ametumia mtindo wa Makhirikhiri wa Botswana
Bonyeza Play hapa chini kuangalia video hii

Theme images by rion819. Powered by Blogger.