KUNDI LA NAVY KENZO NOMA,LASHIKA NAFASI YA NNE KATIKA VIDEO 50 KALI ZA MTV MWAK 2015,DIAMOND TUPA KULE

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..

Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa Ujumla,

Mwimbaji Wizkid wa Nigeria Ameshika Namba 6.

Pongezi ziende kwao @nahreel,@aikanavykenzo wanaounda Kundi la Navykenzo

Pia Pongezi Kwa Diamond Platnumz kwa Kuwa Namba 5 Katika Chat Hiyo...

Mwaka Huu Tegemea Mambo Makubwa Kutoka Kwao na The Industry Kwa Ujumla...

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527