ANGALIA PICHA JINSI LOWASSA ALITUA KWA KISHINDO DAKAWA AKIELEKEA DODOMA
Sunday, January 24, 2016
Aliyekuwa mgombea Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama na kuwasalimia. Lowassa alikuwa safarini kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin