Ajali!! BASI LA LUWINZO LAGONGA LORI LILILOEGESHWA PEMBEZONI MWA BARABARA NA KUUA WATU





Watu wawili wamethibitika kufariki dunia na ishirini na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha Basi la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Njombe kupata ajali asubuhi  ikitokea Njombe kuelekea Dar es Salaam baada ya kuligonga Lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara katika eneo la Kinegembasi wilayani Mufindi.
 
Kamanda wa Polisi Mkoani humo Peter Kakamba amethibitisha kutokea kwa vifo na majeruhi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527