UMEIPATA HII YA KUKU KUGOMA KUCHINJWA SIKU YA KRISMAS?? KAKATWA KICHWA LAKINI BADO ANATEMBEA. ANGALIA VIDEO HAPAKuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe… pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo alafu bado anatembea kama hajachinjwa hivi !!


Hii ishu iliwahi kutawala sana mitandaoni huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina, kuku kachinjwa kwa ajili ya kuliwa lakini bado akatembea japo kichwa hana… icheki kwenye hii video kutoka Goma, Congo DRC.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527