Je Ulipitwa na Hotuba ya Rais Magufuli Jana?? IKO HAPA HOTUBA NZIMA NIMEWEKEA VIDEO KABISA ANGALIA HAPA


Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo.




Marais Wastaafu, kutoka kushoto ni Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar,Amani Karume.

Rais wa Zanzibar akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi.
Video Ya Hotuba Nzima Ya Rais Magufuli Aliyoitoa Jana Bungeni

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post