Rais mpya wa UTPC Deo Nsokolo akiomba kura kabla ya uchaguzi-Picha zote na Malunde1 blog
Makamu wa rais mpya wa UTPC Jane Mihanji akizungumza kabla ya uchaguzi
Rais mstaafu wa UTPC Kenneth Simbaya akizungumza kabla ya uchaguzi
Bodi ya wakurugenzi UTPC iliyomaliza muda wake ikijiuzulu kabla ya uchaguzi
Masanduku ya kupigia kura
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Ulimboka Benjamini Mwakilili akielezea taratibu za uchaguzi
Mkurugenzi wa Uchaguzi Juma Nyumayo
Mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC ambao wajumbe wake ni wenyeviti wa klabu za waandishi wa habari Tanzania,makatibu na waweka hazina umefanya uchaguzi kwa viongozi wapya leo mjini Morogoro.
Kamati ya Uchaguzi mkuu wa rais wa UTPC na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi UTPC mwaka 2015 imetangaza majina ya viongozi wapya wa UTPC...Wapiga kura walikuwa 77.
Matokeo ya Uchaguzi UTPC 2015- Wafuatao ndiyo viongozi waliochaguliwa
*Rais wa UTPC- Deo Nsokolo kutoka Kigoma Press Club
*Makamu wa Rais UTPC-Jane Mihanji -Kutoka Dar City Club
Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi UTPC-Kundi la Wanawake
*Salma Abdul -kutoka Tabora Press Club
*Stella Ibengwe -Kutoka Shinyanga Press Club
*Anna Paul Makange-kutoka Tanga Press Club
*Pendo Mwakyembe -kutoka Mara Press Club
Wajumbe wa Bodi kutoka Tanzania Visiwani
*Mfaume Abdulrahman-Kutoka Zanzibar
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi UTPC Tanzania Bara kundi la Wanaume
*Bashaya Phinias -kutoka Kagera Press Club
*Chidawali Stephen-kutoka Central Press Club Dodoma
*Kuchonjoma Andrew -kutoka Ruvuma Press Club
*Leonard Frank-kutoka Iringa Press Club
Viongozi wapya UTPC 2015
Viongozi wapya UTPC 2015
Viongozi wapya UTPC 2015,Kushoto ni mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsan
Makamu wa rais Jane Mihanji aliyefanikiwa kutetea nafasi hiyo akishikana mkono na rais mpya wa UTPC Deo Nsokolo baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi huo,hawa wawili walikuwa wanawania nafasi ya urais,lakini pia nafasi ya makamu wa rais
Viongozi wapya UTPC 2015
Rais mstaafu UTPC Kenneth Simbaya akimpongeza makamu wa rais Jane Mihanji
Rais mstaafu UTPC Kenneth Simbaya akibadilishana mawazo na mwenyekiti wa klabu ya waandishi mkoa wa Shinyanga,pia mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi mkoa wa Shinyanga,pia mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde akimpongeza rais wa UTPC Deo Nsokolo
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi mkoa wa Shinyanga,pia mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde akimpongeza rais wa UTPC Deo Nsokolo
Pamela Mollel kutoka Arusha akiwa na rais wa UTPC Deo Nsokolo
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA- MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA- UTPC MJINI MOROGORO
Social Plugin