Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHUHUDIA HAPA MAFURIKO YA LOWASSA HUKO TUNDUMA MBEYA...ASHINDWA KUHUTUBIA WANANCHI....

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma,Jumamosi 17/10/2015, lakini mkutano uliahirishwa mpaka kesho saa 3 asubuhi kutokana na vipasa sauti kupata hitilafu na kugoma kutoa sauti,hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda,ndipo mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo,hadi kesho Jumapili 18/10/2015

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com