Ni funga Kazi!! Maelfu ya wakazi wa Shinyanga wamejitokeza katika mkutano wa mwisho wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini Kupitia Ukawa/Chadema Pachal Patrobas Katambi maarufu kwa jina la Mzimu wa Shelembi.
Mkutano huo mkubwa umefanyika leo jioni katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja aliyetimukia Chadema baada ya rafiki yake kipenzi Edward Lowassa kuipiga chini CCM na kuhamia Ukawa.
Pia alikuwepo aliyekuwa kada wa CCM ndugu Emmanuel Nzungu..mbunge wa viti maalum Chadema Rachel Mashishanga na makada mbalimbali wa Chadema pamoja na wazazi wake na Katambi...Mkutano huo pia ulitawaliwa na Vituko vya Hapa na pale kama vile kubebwa Jeneza na njemba kuigiza kuwa ni Lowassa... Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,Kadama Malunde...ametusogezea picha 38...shuhudia hapa chini
Jukwaa kuu
Wafuasi wa Chadema wakiwa na jeneza lilifunikwa bendera ya CCM,ishara ya kwamba kesho Oktoba 25,2015 wanakwenda kuizika......
Mbunge wa viti maalum Chadema Rachel Mashishanga akiwaombea kura wabunge wa UKAWA,Madiwani na mgombea urais wa Chadema Edward Lowassa
mbunge wa viti maalum Chadema Rachel Mashishanga akiwahutubia wakazi wa Shinyanga
Maelfu ya wakazi wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano
Kada wa Chadema Joseph Kasambala akiwahutubia wakazi wa Shinyanga
Tunafuatilia kinachojiri hapa.......
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja akiwa na mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi wakionesha alama ya vidole viwili
Ishara ya Kobra jinsi watakavyoiadhibu CCM Oktoba 25,2015
Nzungu akishambulia jukwaa
Jamaa aliyekuwa anaigiza kama Lowassa akiwa kwenye mkutano...
Mheshimiwa Mgeja akiwahutubia wakazi wa Shinyanga
Mgeja akiwaombea kura wagombea wa UKAWA
Mkutano unaendelea
Mgeja akinadi sera za Ukawa
Mgeja akizungumza ....
mkutano unaendelea
Tuko tayari kwa mabadilikooooo.......
Mkutano unaendelea
Mkutano unaendelea
Mgeja akiwahutubia wakazi wa Shinyanga
Mkutano unaendelea
Mgeja akiwa na mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi
Wananchi wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mgeja
Hapa no Pipoz tu.....
Mgeja akimtambulisha Katambi
Mkutano unaendelea
Mbunge wa Viti maalum Rachel Mashishanga akiteta jambo la Mgeja
Wagombea udiwani wa Chadema wakiwa kwenye mkutano
Katambi akiomba kura kwa wananchi
Ni lala salama...kura zenu ndiyo zitawakomboa......
Wananchi wakiwa kwenye mkutano
Mkutano unaendelea
Pipoz....
Mabango nayo yalikuwepo...
Mama mzazi wa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini kupitia Chadema bi Spesioza Matongo akimwombea kura mwanaye Patrobas Katambi
Baba mzazi wa Patrobas Katambi akimwombea kura mwanaye
Kama Lowassa...Jamaaa akifanya yake...
Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Social Plugin