Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA 50-MHESHIMIWA LOWASSA AONGOZA MAZISHI YA MWENYEKITI MWENZA WA UKAWA DKT EMMANUEL MAKAIDI JIJINI DAR ES SALAAM




Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bwana PHILIP MANGULA akisalimiana na viongozi mbalimbali wa upinzani mchana wa leo wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA EMMANUEL MAKAIDI katika viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam.


Wafiwa mbalimbali wakiaga mwili wa MAKAID kwa ajili ya maziko yaliyofanyika makaburi ya sinza Jijini Dar es salaam





Mgombea Urais wa Tanzania Kwa tiketi ya CHADEMA Edward Lowasa Akiwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Fredrick Sumaye katika shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam mchana wa leo.




































































































































































Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com