MGOMBEA URAIS WA CUF ZANZIBAR MAALIM SEIF ...ADAI ANA MATUMAINI YA USHINDI 72% BAADA YA KUPIGA KURA
Sunday, October 25, 2015
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13.
Tofauti na ilivyokuwa kwa mgombea Urais wa CCM, Dr Shein, Maalim yeye amedai kwamba kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin