Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ASKARI POLISI AFARIKI KWENYE MSAFARA WA DKT MAGUFULI...





 

 Askari aliyekuwa akiongoza msafara wa mgombea urais wa CCM Dr.John Pombe Magufuli amefariki baada ya kugongana na bodaboda eneo la ubungo jijini Dar es Salaam.


Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama Barabarani Mohamed Mpinga amethibitisha kutokea kwa kifo cha Askari huyo.

Dk Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Segerea leo jijini Dar es Salaam kabla ya kuruka na kuelekea jijini Mwanza ambako amefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Furahisha

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com