Hapa ni katika uwanja wa Masagala -Maganzo wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga ambako leo kumefanyika show babu kubwa iliyokutanisha wasanii nguli nchini Tanzania wakiongozwa na msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja aliyeongozana na kundi lake matata la wacheza sarakasi.Wasanii wengine ni H Baba ambaye ni msanii wa nyimbo za kizazi kipya,wengine ni wachekeshaji maarufu nchini Tanzania Senga na Pembe.Hii ni show ya kutambulisha albamu mpya 2015 ya msanii Bhudagala inayojulikana kwa jina la Mhunda...Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,ndugu Kadama Malunde alikuwepo eneo la tukio ametusogezea picha 43....Angalia hapa chini
Wanenguaji wa msanii Bhudagala Mwanamalonja wakicheza katika uwanja wa Masagala -Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga leo
Burudani inaendelea
Wachezaji wa Bhudagala wakicheza kwa madaha
Waigizaji/Wachekeshaji maarufu nchini Tanzania Senga na Pembe wakitoa burudani katika uwanja wa Masagala Maganzo
Senga na Pembe akionesha vituko vyao uwanjani
Senga na Pembe wakifanya yao uwanjani
Ikafika zamu ya H Baba-pichani ni mrembo wa Maganzo baada ya kudata na nyimbo za H Baba akaamua kuingia uwanjani na kuanza kukata viuno....hahahaaaa ilikuwa balaa sana hadi mtu mzima H Baba akabaki ameduwaaa
Msanii H Baba akiimba wimbo wa Kula Lazima
Mcheza Sarakasi kutoka kundi la sarakasi la msanii Bhudagala akicheza mchezo wa kubalance,yuko juu ya meza,kwenye meza kuna chuma cha duara,juu ya chuma kuna ubao,halafu jamaa kakanyanga magongo mawili bila kuanguka....
Kikosi Kazi cha Msanii Bhudagala kikitoa burudani
Duh!! huyu mnenguaji wa H Baba anacheza kwa kutumia kichwa....
Msanii H Baba akifurahia jambo baada ya watoto hao wawili kucheza uwanjani
Burudani kutoka kwa H Baba inaendelea
Mnenguaji wa H Baba akionesha kipaji chake cha kucheza
Ni balaa,mnenguaji wa H Baba akicheza na kiti
H Baba na mnenguaji wakitoa burudani
Burudani inaendelea
Mnenguaji matata wa msanii H Baba akitoa burudani
Msanii H Baba akiwa na mnenguaji wake wakifanya yao
Mcheza sarakasi maarufu wa jina la Mawazo akizungusha ringi kwa kutumia miguu
Mcheza sarakasi Bonge akicheza mpira kwa kutumia kijiti tena kakibana kwa mdomo
Mcheza sarakasi Bonge akifanya yake....Chupa juu ya kijiti
Mcheza sarakasi kutoka kundi la msanii Bhudagala anaitwa Bonge akionesha mchezo wa kubalance,kapachika kijiti mdomoni,halafu kaweka chupa juu ya kijiti flani hivi halafu akaweka chupa mbili....
Kikundi cha Sarakasi cha msanii Bhudagala wakionesha mchezo wa kubalance kama unavyoona pichani,wamepanda juu ya meza,kikawekwa chuma cha duara,kisha ubao halafu ndiyo wakabebana...Ni Hatari....lakini wenyewe wanasema ni mazoezi...
Kikundi cha Sarakasi cha msanii Bhudagala wakionesha mchezo wa kubalance kama unavyoona pichani,wamepanda juu ya meza,kikawekwa chuma cha duara,kisha ubao halafu ndiyo wakabebana...Ni Hatari....lakini wenyewe wanasema ni mazoezi...
Wananchi wakiangalia show
Tunaangalia show
Tunaangalia Show
Wakazi wa Maganzo wakiangalia show
Wakazi wa Maganzo wilayani Kishapu wakishuhudia show
Wanenguaji wakikata viuno balaaaa
Burudani inaendelea
Wanenguaji wa msanii Bhudagala wakicheza
Msanii Bhudagala akiimba na kucheza uwanjani
Wanenguaji wakionesha vipaji vyao
Mbwembwe sasa......
Burudani inaendelea....
Wanenguaji wa Bhudagala wakifanya yao
Bhudagala akicheza na wanenguaji wake wimbo Remmy
Bhudagala akiimba wimbo wake mpya unaitwa Mhunda...
Burudani inaendelea
Wanenguaji wa Bhudagala wakifanya yao
Msanii Bhudagala Mwanamalonja akiimba uwanjani
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Social Plugin