Video: YALEO KALI - MAISHA KAMALI...WEKA MBALI NA WATOTO VIUNO BILA MFUPAKama kawaida ya Malunde1 blog kukutafutia habari mpya kutoka kila kona ya dunia,lakini pia burudani za hapa na pale..Mtandao huu pia unakuweka karibu kabisa na nyimbo mbalimbali zenye miondoko ya asili.Leo Tumekuletea Video ya wimbo unaitwa Maisha Kamali kutoka kwa msanii Yaleo Kali kutoka mkoani Mwanza.Katika Video hii kuna warembo wanacheza sana...unaweza kufikiri hawana mifupa kabisa.

Angalia video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post