ANGALIA PICHA!! WACHAWI WATATU WADONDOKA NA UNGO WAKISAFIRI ANGANI HUKO NJOMBE
Wednesday, September 23, 2015
Watu wanaodaiwa kuanguaka kwa imani za kishirikina wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye gari la polisi.Watu Watatu ambao hawajajulikana majina yao jinsi ya kiume wamekutwa wameanguka katika kijiji cha Utiga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kwa imani za kishirikina.
Watu hao wakiondolewa na polisi eneo la tukio Watu hao ambao hawajafahamika mara moja wanakotoka wanadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Songea Mkoani Ruvuma lakini walipofika katika kijiji hicho ndipo walipoanguka.
Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google
Playstore Bofya
Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi
kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni
halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka
kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄
Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti?
🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani?
✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi
vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
TAFUTA HABARI
Kamusi
Social Plugin