MGEJA AFUNIKA SHINYANGA MATOKEO YA KURA ZA MAONI UBUNGE VITI MAALUM KUNDI LA VIJANA

Sinzo MgejaWajumbe waliopiga kuraKamanda wa vijana mkoa wa Shinyanga Ahmed Salum akiwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine MatiroSinzo Mgeja akilia kabla ya matokeo kutangazwaSinzo Mgeja akikumbatiana na shangazi yake baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi wa Kwanza


Sinzo Mgeja akikumbatiana na Mama yake mzazi

********

Uchaguzi viti maalum kundi la vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Shinyanga leo limefanya uchaguzi huku Sinzo Khamis Mgeja ambaye ni mtoto wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja akiibuka mshindi kwa kupata kura 16 kwenye kinyanganyiro hicho kilichokuwa kikigombewa na watu watano.


Uchaguzi huo umefanyika katika ukumbi wa NSSF yalipo makao makuu ya chama hicho ukihusisha wajumbe 35 waliopaswa kupiga kura


Uchaguzi huo umesimamiwa na kamanda wa vijana mkoa wa Shinyanga Ahmed Salum na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro

Matokeo yaliyotangazwa ni kama ifuatavyo:


1.Sinzo Khamis Mgeja- kura 16
2.Radhia Kalombola- 11
3.Sato Makune-5
4.Beatrice Malugira-3
5.Clara Henry Joseph- 0


Imeandaliwa na Kadama Malunde- Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post