WALIOFARIKI BAADA YA KUNYWA POMBE HUKO INDIA SASA NI ZAIDI YA 90...

null 

Zaidi ya watu 90 wamefariki kutokana na pombe iliokuwa na sumu katika mji wa India, Mumbai huku wengi wengine wakiwa hospitalini.

Vifo vya kwanza viliripotiwa siku ya Jumatano.

Naibu wa kamishna wa polisi katika mji huo amesema kuwa watu 150 waliokunywa pombe hiyo iliotengezwa nyumbani katika mtaa mmoja wa mabanda.

Vifo vinavyosababishwa na pombe iliyo na sumu vimekuwa jambo la kawaida nchini India ambapo pombe rahisi inayotengezwa nyumbani ni maarufu miongoni mwa wakaazi wake walio maskini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post