MESSAGE ILIYOZUA GUMZO MTANDAONI KUHUSU TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC ZILIZOMPA HESHIMA ALIKIBA

Hii Message Inazunguka tangu jana Mitandaoni:

Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015
Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana
Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria,
Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali!
Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka
Wa Kiume.......
Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo Hiyo... Dah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata
Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa...
Kwenda Imeshaenda Sasa Tuujenge Mziki Wetu Kwa Kuwapa Sapoti
Wasanii Wetu Daimond Platnumz Na Vanesa Mdee Katika Tuzo Za Mtv
Ili Kuleta Heshima Nyumbani
Tunaomba Radhi Kwa Yote Yaliyojitokeza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post