TAZAMA VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ Ft MR FLAVOUR_ NANA

Diamond
Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambae zamu hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour kwenye single inaitwa Nana kupitia kwenye mikono ya director GodFather.

Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumwimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond baada ya kuitazama video na atapita kusoma comments za watu wake.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post