Makubwa Haya!! JAMAA AJIPIGA RISASI,ETI ANAONJA MAUMIVU YA RISASI MWILINI!!

IMG 

Kesi za watu kujipiga risasi ni ishu ambazo ziko kwenye headlines.. zimekuwa zikitokea sehemu mbalimbali duniani kutokana sababu mbalimbali.

Hii imetokea Hispania.. jamaa kakaa akaona ajaribu kujipiga risasi ili aone tu maumivu yake yakoje… baada ya kupata jibu akachukua maamuzi mazito, kachukua bastola yake akajipiga mguuni.

Polisi hawakumuacha, alitangulizwa kwanza hospitali, akapewa matibabu alafu ishu ikahamia kwenye meza ya Mahakama.

Jamaa huyo alijitetea kwa polisi  kuwa aliamua kufanya kitendo hicho ili kujua mtu anayepigwa risasi huwa anajisikiaje maumivu yake.. upepelezi unaendelea juu ya kesi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post