KUTANA NA VISIWA 10 VYENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI,AFRIKA KIPO KIMOJA!!

madeira
Nimeona nikusogezee picha za hivi visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja, unadhani kitakuwa ni cha Tanzania?

pro
1. Providenciales – Uturuki
maui
2. Maui – Marekani
roatan
3. Roatan – Honduras
santo
4. Santorini – Ugiriki
koh
5. KO TAO – THAILAND
madeira
6. Madeira – Ureno
madeira
bali
7. Bali – Indonesia
mau
8. Mauritius
bora
9. Bora Bora- French Polynesia
nooo
10. Fernando De Noronha- Brazil

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post