JAMAA AJIREKODI AKIIBA PESA BENKI KISHA KUIPOST FACEBOOK ,KILICHOFUATA HIKI HAPA

13570694
Dominyk Alfonseca kutoka Virginia Beach, Marekani ana kesi ya kuvamia Benki na kuiba dola 150,000 lakini akaona watu wake wasipitwe, akarekodi tukio zima alafu akapost kwenye ukurasa wake wa Instagram!! Dakika kama 20 baadae akakamatwa na Polisi !!
Dominyk-630x420
Dominyk Alfonseca
Dominyk mwenyewe ana ndoto za kuwa rapper.. baada ya kukamatwa na Polisi alijitetea kwamba anashangazwa na watu wanavyomuita mwizi kwani kwenye karatasi ya ujumbe aliompatia teller wa benki hakuomba pesa hizo kwa nguvu bali aliomba tu taratibu bila kutumia nguvu na akapewa.
635665338675117842-Instagram-pic
Hii ni karatasi ambayo jamaa alimpa mhudumu wa Benki ili ampe kiasi hicho cha pesa.
Kwenye utetezi wake jamaa anasema hivi;Sijui kwanini wananiita mwizi.. mimi nilisema “naomba” sikutumia nguvu.. angesema hapana au sitaki mimi ningeondoka zangu tu bila matatizo“– Dominyk Alfonseca.

Hapa kuna video inayoonesha jamaa anavyojitetea.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527