![]() |
| Wauguzi wakiwa katika maandamano hayo |
![]() |
| Wanafunzi kutoka Chuo cha Uuguzi Kolandoto wakiwa katika maandamano hayo kuelekea viwanja vya Shycom mjini Shinyanga ambako ndiko maadhimisho hayo yanafanyika |
![]() |
| Usalama barabarani ulikuwepo wa kutosha |
![]() |
| Waandamanaji wakipita karibu na ofisi za TANESCO mjini Shinyanga |
![]() |
| Wapiga tarumbeta wakifanya yao |
![]() |
| Wauguzi wakiandamana |
![]() |
| Maandamano yanaendelea |
![]() |
| Hapa ni katika banda la vyuo vya uuguzi ambao wanafanya maonesho ya taaluma ya uuguzi |
![]() |
| Muuguzi akionesha kwa vitendo namna akina mama wanavyojifungua |
![]() |
| Ndani ya moja ya mabanda |
![]() |
| Mtaalam kutoka Red cross akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi katika banda lao la kutolea damu |
![]() |
| Waandamanaji wakiwasili katika viwanja vya Shycom |
![]() |
| Meza kuu wakiwa wamesimama kupokea maandamano |
![]() |
| MC akifanya yake wakati wa kupokea maandamano |
![]() |
| Aliyesimama ni muuguzi mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Fabian Kalabwe akikaribisha wageni |
![]() |
| Meza kuu wakifuatilia kinachojiri |
![]() |
| Wanakwaya kutoka chuo cha Uuguzi Kolandoto wakitoa burudani |
![]() |
| Wageni mbalimbali wakifuatilia kilichokuwa kinajiri |
![]() |
| Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Ntuli Kapologwe akizungumza wakati wa ufunguzi maadhimisho ya siku ya Wauguzi kitaifa yanayofanyika mkoani Shinyanga |
![]() |
| Wauguzi wakiwa eneo la tukio |
![]() |
| Muuguzi mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Fabian Kalabwe akisoma risala |
![]() |
| Wanenguaji kutoka kundi la Medical Culture wakitoa burudani |
Bendi ya Medical Culture wakitoa burudani
![]() |
| Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro alizungumzia pia umuhimu wa wananchi kutumia vyandarua vyenye viwatilifu |
![]() |
| Picha ya pamoja baada ya uzinduzi |
![]() |
| Picha ya pamoja baada ya uzinduzi |
































Social Plugin