Noma Sana!! ZITTO KABWE ATIKISA MKOA WA MARA NA ACT WAZALENDO YAKE
Monday, April 20, 2015
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Mkoa wa Mara katika Ziara ya kukitambulisha chama. kwenye ziara hiyo wameshatembelea mikoa ya Songea, Njombe, Makambako, Iringa, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Kahama, Mwanza, na Aprili 20,2015 ilikuwa Musoma mkoani Mara.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Musoma kwenye Viwanja vya Shule mkoani Mara.
Kiongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwasili kwenye Viwanja vya
Shule mjini Musoma mkoani Mara kabla ya kuhutubia mkutano wa
hadhara wa chama chake.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin