Mkuu
wa wilaya ya Kyerwa iliyoko Kagera, Luteni Kanali Mstaafu Benedict
Kulikila Kitenga amefariki dunia katika hospitali ya Muhimbili kutokana
na shinikizo la damu na mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 23, Kola
hill Morogoro.
Chanzo-EATV
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin