Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BAADA YA KUFANYA COLABO NA DIAMOND,IYANYA AMEACHIA VIDEO MPYA-Inaitwa ‘Applaudise’,ITAZAME HAPA

iyanya
Iyanya amekua akifanya vizuri katika industry ya muziki ndani na nje ya nchi yake ya Nigeria.

Baada ya ile collabo yake aliyomshirikisha Diamond ya ‘Nakupenda’ sasa ameamua kuja na nyimbo nyingine mpya ambayo unaambiwa amemwimbia mtu special.
Nakukaribisha kusikiliza single yake ‘Applaudise’.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com