MWANAMKE AFARIKI DUNIA AKIANIKA NGUO KWENYE NYAYA ZA UMEME BAADA YA KUMALIZA KUZIFUA!!

how-to-wash-clothes-by-hand

Mwanamke mmoja Kenya amefariki baada ya kuanika nguo katika  nyaya za senyenge zilizokuwa zimeshikana na nyaya za umeme zilizokuwa zimekatika karibu na mto ambao wanachota maji.

Wakazi wa eneo hilo wamesema hawakujua kama nyaya hizo za umeme zilikuwa zimegusana na nyaya za fensi ya kuanikia nguo na matukio kama hayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara na kuomba Shirika la Umeme Kenya kuondoa nyaya hizo.

Sababu ni mara nyingi sana shida ikitokea kule chini inapigiwa simu.. kwanza iling’oa miti ikachoma forest huku chini… waya ulikatika na wakati yule mzee alikuwa anasema hizo waya zilishikana Halafu zikatetemesha nyumba yote“– alisimulia shuhuda huyo.

Hapa ni story hiyo ambayo nimekuletea kutoka K24 TV.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post