Mpyaaa !! SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA MASTAA WA KIKE TZ KUHUSU MAUAJI YA ALBINO,YUMO KAJALA,KEISHA,SHILOLE,WOLPER,LINAH,ZAMARADI,UWOYA,MWASITI....


.
.
Hii ni single mpya iitwayo Simama nami iliyoimbwa na mastaa mbalimbali wa kike akiwemo, Kajala, Keisha, Zamaradi, Shilole, Grace Matata, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Khadija Nito, Shamsa Ford na Mwasiti.

Lengo la wimbo huu ni kutokomeza vitendo vya mauaji kwa albino vinaendelea kutawala nchini.

Usikilize na Udownload hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post