Imehuzunisha wengi, Jana ilikuwa siku
ambayo ndugu, jamaa walikutana kufanya mazishi ya marehemu hao katika
Makaburi ya Airwing, Dar es Salaam.
Waziri Dk. Harrison Mwakyembe
Waombolezaji wakiwa katika msiba huo.
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akipeana mkono na Dr. Makongoro Mahanga na Waziri Mark Mwandosya.
Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mmoja wa marehemu hao kwa ajili ya mazishi.
| picha zote kwa hisani ya Millard ayo.com |
Social Plugin