Hii ni barabara ya Magadula inayotoka eneo la Hospitali ya mkoa wa Shinyanga hadi Mshikamano (kata ya Ndembezi na Ngokolo)mjini Shinyanga ambapo vifusi vya mchanga vimemwagwa kipindi kirefu bila kusambazwa matokeo yake barabara inakuwa finyu hali inasababisha waendesha magari,pikipiki,mikokoteni,baiskeli na watembea kwa miguu kupita kwa tabu kama inavyoonekana pichani
Kutosambazwa huko kwa vifusi kumesababisha magari kuharibu hata mitaro pembezoni mwa barabara
Watumiaji wa barabara hiyo walipozungumza na Malunde1 blog mbali na kuulalamikia uongozi wa manispaa ya Shinyanga kwa uzembe pia waliomba watendaji wa manispaa hiyo wajipime kwani mara nyingi kila wanapomwaga vifusi vya mchanga wamekuwa wagumu kuvisambaza hali inayosababisha wakati mwingine ajali zisizokuwa za lazima kutokea
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin