MSANII ALIYEJICHORA TATOO KWENYE MACHO AKIONA CHA MOTO

eye (1)
Mastaa wengi tumeona wakijichora tattoo sehemu mbalimbali za mwili, sikuwahi kusikia kwamba kuna mtu amewahi kujichora tattoo kwenye jicho.
Dancehall-Artist-Alkalines-Tattoed-Eyes-Gets-American-Mainstream-Publicity-2

Story iko hivi, rappa mmoja toka Marekani, Mace ameingia kwenye headline, story yake ni kama ya kushtua hivi, yeye alijichora tattoo kwenye jicho lake la kushoto, sio kwenye ngozi kama ambavyo tumezoea!
Msanii huyo alikimbizwa Hospitali baada ya kupata maumivu makali ya jicho ambalo alichora tattoo, kwa bahati nzuri alifanikiwa kupatiwa matibabu.
Kuna hofu kwamba huenda mastaa wengi wataiga hii mpya ya kujichora tattoo kwenye macho.
alk
Tattoo hii ni tofauti na tattoo za kwenye ngozi, hii ya kwenye jicho huchorwa kwa mtindo wa wino kuingizwa ndani ya jicho na kisha kuenea ndani ya jicho kama wingu jeusi.
Alkaline-eye-tattoo1
maxresdefault (1)
Screen Shot 2014-01-20 at 15.47.44

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post