MCHEKESHAJI NYOTAMBOFU MAARUFU MMASAI, ATOBOA KILICHOMKIMBIZA VITUKO SHOW
Tuesday, January 13, 2015
MWIGIZAJI na Mchekeshaji Bongo, Griady Kahena ‘Masai Nyotambofu’ amefunguka sababu zilizomfanya apumzike kuigiza katika Kundi la Vituko Show kuwa ni bosi wake kutowajali wasanii hasa wakiwa na shida.
“Ukiangalia Vituko Show sisi magwiji tulioanza na kundi hilo, wengi tumekimbia baada ya kuona bosi haoni umuhimu wetu pamoja na kufanya kazi lakini unaambulia maarufu tu huna pesa, una shida unaazima hata simu,” anasema Nyotambofu.
Nyotambofu ambaye kwa sasa ni mtangazaji katika kipindi cha MinBazz kirukacho katika televisheni ya Star Tv,amebainisha kuwa kufuatia utaratibu wa bosi wao kuwachukulia kama wasanii wa kawaida, wengi wamejitoa na kuangalia kazi nyingine badala ya kuigiza ili kuweza kuendesha maisha yako
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin