Bungeni Leo!! THUBUTU KULEWA MUDA WA KAZI,UTAKIONA CHA MOTO

Serikali imesema itawachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wa umma wanaokikuka sheria za kazi kwa kupiga soga ama kulewa wakati wa saa za kazi.
 
Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma na naibu waziri wa kazi na ajira Makongoro Mahanga wakati akijibu swali la mbunge wa tarime mh nyambari chacha nyangwine aliyetakaa kufahamu mkakati wa serikali wa kudhibiti nidhamu kazini kutokana na baadhi ya watumishi kulewa nyakati za kazi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527