Askofu mkuu wa jimbo kuu la Mwanza na msimamizi wa kitume wa
jimbo katoliki la Shinyanga mhashamu Yuda Thadeus Ruwaich Leo ameongoza mazishi ya
padre Joseph Mabula Mayunga(68)aliyefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya
Bugando jijini Mwanza akitibiwa ugonjwa wa tezi dume yamefanyika katika
makaburi ya mapadri yaliyopo katika kanisa kuu la Mama mwenye huruma Ngokolo
mjini Shinyanga-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga
Picha marehemu padre Mayunga ikiwa kwenye jeneza-
Padre Mayunga alizaliwa tarehe 27,April 1947 katika kijiji
cha Salawe wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga na amefariki dunia
Januari 17,2015 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando.
Ndani ya kanisa la Mama mwenye Huruma ngokolo mjini Shinyanga mapadari wakifuatilia misa ya mazishi,ambapo maelfu ya watu wamejitokeza katika mazishi ya padre Mayunga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Enzi
za uhai wake marehemu padre Mayunga aliwahi kufanya utume wake katika parokia
za Malili,Ng’wanangi,Ulumya,Chamugasa,Shinyanga mjini na Mwadui kama paroko na
kuhudumu katika parokia za Bugisi,Salawe na Buhangija,pia mkurugenzi wa miito
na miongoni wa mwa washauri wa askofu jimbo katoliki la Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
|
Misa inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
“Tarehe 21 Novemba 2014,mapadre wa Buhangija
baada ya kuona afya ya padre Mayunga imeanza kutetereka,walitoa taarifa kwa
uongozi wa jimbo na uamuzi ulitolewa mara moja kumpeleka Bugando,na akiwa hapo
alifanyiwa uchunguzi na kubainika kwamba alikuwa ana tatizo la tezi dume”-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Padre Mayunga alifanyiwa upasuaji Desemba
18,2014,siku moja baadaye alipata tatizo la kupanda kwa shinikizo la
damu,alianza kutapika damu na sukari kupanda sana,akapelekwa chumba cha
wagonjwa mahututi kwa uangalizi maalum(ICU),Desemba 31,akarudishwa wodini baada
ya afya yake kuimarika, baada ya matibabu hayo
makubwa na akiwa wodini,hali ya afya yake ilianza kuimarika,lakini mnamo terehe 17,2015 saa 4 asubuhi hali ya afya
ilianza kuzorota ghafla na ilipofika saa 11 na dakika 10 jioni alifariki dunia-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
|
Kanisani leo-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Misa inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Misa inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Askofu Ruwaich akiongoza misa ya mazishi ya marehemu Padre Mayunga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Kanisani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Kanisani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Misa ya mazishi inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Misa inaendelea |
-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Misa inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Misa inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Kanisani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Misa Inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Askofu Ruwaich akiwa karibu na jeneza la marehemu-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Kabla ya kupelekwa mwili wa marehemu kwenye makaburi ya mapadre kwenye kanisa la mama mwenye huruma Ngokolo-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mapadre wakijiandaa kubeba mwili wa marehemu-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Padre Sylivanus Kidaha akiwa amebeba picha ya marehemu kuelekea makaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Mapadri wakiwa wamebeba mwili wa marehemu kuelekea makaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Jeneza la marehemu likiwa karibu na kaburi-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Askofu Ruwaich akiongoza ibada ya mazishi makaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Wakazi wa Shinyanga na maeneo ya jirani wakifuatilia kilchokuwa kinajiri makaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Jeneza likiingizwa kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Jeneza likiingizwa kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
mazishi yanaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Askofu Ruwaich akiweka udongo kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
|
Askofu Ruwaich akiweka msalaba kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Askofu Ruwaich akiweka shada la maua kaburini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
|
Mazishi yanaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Baada ya mazishi-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553