TAZAMA PICHA-MAZISHI YA MSANII AISHA MADINDA YAFANYIKA JIONI HII JIJINI DAR ES SALAAM

Aisha Madinda enzi za uhai wake akifanya yake jukwaani


Hatimaye mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda umezikwa jioni hii katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam. 

Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar wamejitokeza na kuhudhuria maziko ya msanii huyo aliyefariki dunia juzi. 

Mwili wa Aisha Madinda ukishushwa kaburini.
Maziko yakiendelea.



Waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la Aisha Madinda.


Mungu ailaze roho ya marehemu AISHA MADINDA mahali pema peponi. AMEN.


Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post