WAGOMBEA WAJIONDOA KWENYE KINYANG'ANYIRO BAADA YA KUTISHIWA KUUAWA,KUCHOMEWA NYUMBA ZAO HUKO SIMIYU


Wakati zoezi la kupiga kura uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa kwa ngazi za vijiji, vitongoji pamoja na mitaa ukiendelea leo nchi nzima hali si shari mkoani simiyu katika wilaya ya Busega.

  
Taarifa zilizotolewa na jeshi polisi Mkoani Simiyu pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Paul Mzindakaya zinaeleza kuwa katika mji wa lamadi viongozi walikuwa wanagombea katika uchaguzi huo kupitia CCM wamejiondoa katika dakika za mwisho.

Taarifa hizo zilieleza kuwa viongozi hao wamejiondoa kwa madai ya kutishiwa kuuawa, kuchomwa moto nyumba zao ikiwa pamoja na familia zao kuuawa na wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.

<<ENDELEA KUSOMA HABARI HII HAPA>>



Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post