Breaking News!! APASULIWA KICHWA BAADA YA KUPAMIA FUNGU LA VITUNGUU KATIKA MNADA WA TINDE-SHINYANGA
Tuesday, December 16, 2014
Habari tulizozipata hivi punde kutoka mnada wa Tinde ulioko katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga, ambao hufanyika kila siku ya Jumanne ni kwamba mwanamme mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja anadaiwa kupasuliwa kichwa na wananchi waliokuwa eneo la mnada. Mdau wa Malunde1 blog Paul De Nyoso Seseja aliyepo eneo la tukio anasema tukio hilo limetokea jioni hii na limetokana na mwanamme huyo kupamia/kuparamia fungu la vitunguu vilivyokuwa vinauzwa katika soko hilo kitendo ambacho kiliamsha hasira kwa watu waliokuwa eneo hilo baada ya mtuhumiwa aliyeonekana kulewa pombe kuonesha ubabe baada ya kuulizwa kwanini kapamia vitunguu hivyo Mwanamme huyo akiwa ameanguka chini baada ya kupigwa kwa fimbo na wananchi katika mnada wa Tinde ambapo inadaiwa kuwa amepasuka kichwa
Wasamaria wema wakitoa msaada kwa mwanamme huyo kabla ya kumkimbiza katika zahanati ya Tinde kwa ajili ya matibabu
Safari kuelekea zahanati ya Tinde
Picha zote na Paul De Nyoso Seseja-Mdau wa Malunde1 blog Tinde
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin