Vituko Bungeni!! MBUNGE KANGI LUGOLA AVAA KININJA BUNGENI ETI HATAKI KUWAONA WAHUSIKA WA ESCROW,VIDEO IKO HAPA

MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia  akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. 

Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi mkono vitendo viovu japo alikataliwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Zungu.



TAZAMA VIDEO HAPA CHINI HALI ILIVYOKUWA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527