Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA HAPA VIDEO YA MWIMBAJI MKALI WA TAARABU KUTOKA SHINYANGA MAMAA SALMA- "Kukuacha Siwezi"

Yule mwimbaji wa taarabu kutoka mjini Shinyanga Salma Murii maarufu kwa jina la "Mamaa Salma" anayetamba kwa nyimbo yake ya "Kukuacha Siwezi" katika mfumo wa Audio sasa ameiachia nyimbo hiyo katika mfumo wa Video,ameifanyia production katika studio za EasyFlex .Kupata nakala ya wimbo huo piga simu 0759727737.

TAZAMA VIDEO YA WIMBO WA MAMAA SALMA"Kukuacha Siwezi" HAPA CHINI



KAMA HUKUISIKILIZA AUDIO YAKE BASI NAYO  HII HAPA



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com