Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, rapper Geez Mabovu amefariki jana jioni. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo.
December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike mjini Iringa kwenye ukumbi wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B na Chidi Benz.Taarifa zaidi zinakuja.
Social Plugin