Hujafa Hujaumbika_ ANGALIA JINSI BINTI HUYU ANAVYOTESEKA,MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUNUSURU MAISHA YAKE

BONYEZA HAPA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU TUNAPOZIWEKA 
Binti Ester Sako (26)akiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Msagara Wilayani Kishapu mkoani Shinyanga 



Ester Sako


Ester Sako ni msichana mwenye umri wa miaka 26 alizaliwa

akiwa na ulemavu wa ngozi Albino lakini mnamo mwaka 2011,alipata kipele sehemu za usoni karibu na pua.



Baada ya kupata kipele hicho alikitumbua ndipo majimaji

 yalianza kutoka na kusababisha kupata uvimbe ambao kila siku unamsababishia vidonda usoni.




Ester Sako anaishi kwenye kijiji cha Msagara Wilayani
Kishapu Mkoani Shinyanga ambapo kufuatia vidonda hivyo
vilivyoenea usoni kwake anaomba wasamaria wema wajitokeze kumsaidia kwani wakati mwingine vipele hivyo vinatoa wadudu wadogo wadogo weupe.


ILI KUMPA MSAADA  ESTER SAKO PIGA SIMU NAMBA 0767137414

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527